JOETT WhatsApp Voice Studio Vocal Warm-up Starter Kit
INTRODUCTION
[ENGLISH]
I’ve attached Chromatic Scales with which I want you to do lip rolls for both male and female. (For Lip Roll and MORE video demos Click Here!).
The men can start in the lower notes and stop where they’ve reached their limit in the higher range.
Women can begin where it feels comfortable and stop when they’ve reached the limit of their range. None of you have to get to the very end of the scale.
Do these vocal exercises at least 3 time a week.
Send in your work for my evaluation via WhatsApp group JOETT Voice Studio or inbox me.
To get a more extensive voice training program as well as the Breathing Exercise Download Joett Vocal Drills Vol. 1-7
OR if you're not from East Africa and won't understand Swahili instruction, for the English version just send an email to: joettmusic[at]gmail.com
View vocal exercises Demo Videos On Facebook, here!
RECOMMENDED VOICE TRAINING SCHEDULE
DAY 1 - Breathing + Vocal Exercises DAY 2 - Breathing + Vocal Exercises DAY 3 - Breathing + Vocal Exercises DAY 4 - Breathing + Vocal Exercises DAY 5 - Breathing + Vocal Exercises DAY 6 - Breathing + Vocal Exercises + Song DAY 7 - Breathing + Vocal Exercises + Song DAY 8 - Breathing + Vocal Exercises + Song DAY 9 - Breathing + Vocal Exercises + Song DAY 10 - Breathing + Vocal Exercises + Song
JOETT - Voice Coach & Author 101 Letters from a Vocal Coach
UTANGULIZI
[SWAHILI ]
Nime ambatanisha Chromatic Scales ambazo unatakiwa kufanya lip rolls, kwa wanawake na wanaume.
Wanaume wanaweza kuanzia chini kabisa na wakifikia kikomo kuelekea juu wanaweza kusitisha zoezi.
Wanawake waanze pale ambapo wanaweza kuingia ndani ya funguo na wakifika kikomo kwenda juu, wanaweza kusitisha zoezi. Hakuna anae lazimika kufika mwisho kabisa wa scale (zoezi).
Fanya haya mazoezi mara MOJA TU kwa siku angalau mara 3 kwa wiki. Tafadhali tuma mazoezi yako kwa uhakiki kupitia WhatsApp group langu JOETT Voice Studio au ni inbox.
Kupata mazoezi yalio kamilika pamoja na Zoezi la Pumzi Download Joett Vocal Drills Vol. 1-7
Video Zenye mifano ya Lip Rolls na Zoezi la Pumzi zipo Facebook. Bofya hapa!
Kwa Maelekezo ya ziada kwenye blog langu, bofya hapa!
MPANGILIO WA RATIBA YA MAZOEZI YA SAUTI
DAY 1 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti DAY 2 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti DAY 3 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti DAY 4 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti DAY 5 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti DAY 6 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti + Nyimbo DAY 7 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti + Nyimbo DAY 8 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti + Nyimbo DAY 9 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti + Nyimbo DAY 10 - Pumzi + Mazoezi ya Sauti + Nyimbo
Darasani kwangu studio hatugusi nyimbo KABISA hadi sauti imekaa sawa. Na kwa kawaida ni baada ya madarasa matano. Tatizo la mtu aliezoea kutumia vibaya sauti ni kwamba akianza haya mazoezi na kuimba hapo hapo nyimbo, atakua anakwenda mbele na kurudi nyuma. USHAURI: achana na nyimbo fanya mazoezi tu hata ikibidi wiki kadhaa. Sauti yenyewe itasahau yale matumizi mabovu. Lakini kila saa ukiwa unaikumbushia madudu, uta shindwa kusonga mbele. Ushauri wa bure huo. Ni juu yenu sasa. Mimi nimeshasema yangu.
Mazoezi ya Ziada kwa Joett Vocal Drills Vol. 1
Kuna njia zingine za kutumia piano scales za Joett Vocal Drills Vol. 1 ili kuongeza upeo wa sauti yako. Kupata maelekezo ya mazoezi haya ya ziada bofya hapa!
JOETT - Mwalimu wa Sauti www.JoettMusic.com